Monday, February 16, 2009

VIOLENT ADDICTION- Chris vs Rihanna


Naibua mjadala huu coz it is so sensitive in the US na nchi zilizoendelea. We have taken major steps to protect the woman in Tz but I suspect many women do not come out and expose violent physical violence dhidi yao. Chris Brown anaweza kuonja jela kwa "kumpiga" au kumdhuru kipenzi chake Rihanna! I think hilo linamsumbua sana! Anajificha, anaogopa!

Sasa mjadala unahusu nini? Well, ni kuhusu kumpiga mwanamke. The world is a different place today, mwanaume anayempiga mwanamke ni out-of-date ile mbaya! But, some of us still throw a punch, slap or beat down!

In talking to close friends I usually note that that hitting a woman can be addictive. Kivipi? Unajua, power corrupts katika siasa lakini power ya mabavu katika mahusiano ndio sumu kabisa! Mfano, unapofoka na mwenzako anainama, kuna raha fulani unapata! A sort of adrenal rush when she cowers!

Unapoinua mkono na mwanamke analia akikimbia au kujikunyata, kuna raha ya kifedhuli inakugubika! Wanaume wengine wanapenda mwanamke anayerejesha kofi kwa ngumi, ngumi kwa kusukumana na hata kubilingishana na kuvunjiana vitu! Mwanaume mwenye nguvu ataweza kumkandamiza mwanamke au kumzidi mbinu, hili nalo linaleta raha isiyo kawaida.

Mwanaume mgonvi anafurahia mabavu yake, bila kupewa nasihi, ubabe wake utakua ulevi wake! A violent addiction!
Mnasemaje my bros? Hii blog is in large part about us.... Hasira ni hasara. But, how to stop the adrenalin rush of blood and power! We are taught to believe women "nag" or have kiburi if they retort back! Does a slap help matters? Because when she goes down, whimpering, we tower over them, barking, unsympathetic, daring them to open their mouths again, boasting! A womans' place is to remain silent, to shut up!

Talk to me bros!

1 comment:

  1. Abusive language is another form of pain inflicted on women. This is also commonly practise in our country. A woman is called of sorts of words which degrade her and are very painful.

    Can you guys really change?

    Cheers!

    ReplyDelete