Monday, February 16, 2009

AFTER VALENTINE....

Wow! Valentine has become a major event! There was absolutely no way you could avoid it around town. I worked the Dar Alive crowd at the fabulous Mikocheni beach club! We had all nationalities there! So hard to play music to the world....! But it was great fun! Pics coming up! I got this sms the next morning:
Matokeo ya jana nilipofanya research DSM mchana:
NDOA ZILIZOVUNJIKA: 24%
FUMANIZI 48%
MAUZO YA CONDOM 80%
WATU WALIOZINI 97%
VITANDA VILIVYOVUNJIKA 18%
MAAMBUKIZI YA VVU 67%
WALIOPATA WAPENZI WAPYA 79%
TULIOSHINDA NYUMBANI NA WAZAZI WETU 3%
MAHUDHURIO YA GUEST HOUSE 79%
KUTUUMIKA KWA MANENNO "I LOVE YOU" (hata kama ni uongo) 99%
Hiyo ilikua mchana tu, nitumie vocha ili nikupe matokeo ya usiku ambayo yalikuwa baabkubwa kuliko ya mchana...!

Nikamjibu, "I love you, I hope itatosha maana sipo sehemu ambapo naweza nunua vocha kwa sasa!"

Nakaribisha kwa picha na maelezo juu ya Valentine yako ilivyokuwa!!

No comments:

Post a Comment