Saturday, October 30, 2010

MODEL CASTING FOR SWAHILI FASHION WEEK/WANATAFUTWA MAMODO KWA AJILI YA ONYESHO LA SWAHILI FASHION WEEK!



FOR IMMEDIATE RELEASE


Model casting on Monday November 1st at Southern Sun Hotel from 1pm until 3pm.

Are you a Model? Or perhaps you aspire to be one?

Men and Women; All are welcome to audition for the chance of being a part of Swahili Fashion Week 2010.

Southern Sun Hotel will be hosting the third Swahili Fashion week model casting at 1pm on the 1st of November. Our aim is to offer this opportunity to all people who aspire to be a model. Anyone with the dream of becoming a model has the opportunity to audition for the biggest fashion filled event of the year.

Swahili Fashion week is a platform for designers – both fashion and accessory – from Swahili speaking countries to showcase their creativity, market their art and network with their clientele. This is all aimed at promoting fashion as an income generating, job creating industry while emphasizing a “Made in East Africa” concept.

Swahili Fashion Week 2010 has been sponsored by the home of Swahili Fashion Week - Southern Sun, Origin Africa, USAID Compete, MALARIA HAIKUBALIKI , BASATA (Baraza La Sanaa Taifa), Ultimate Security, Monier 2000, Colour Print Ltd, Global Outdoor Ltd, Amarula, Vayle Springs Ltd, ZG Films, Darling Hair, Danish make up designs, Nipashe, Bilicanas, Perfect Machinery Ltd, 1&1 Internet Solutions, Sengi Tours, Ifashion, 361 Degrees and EATV & East Africa Radio.


Usaili kwa wanamitindo kufanyika Southern Sun Hotel, Jumatatu tarehe 1 November 2010


Je wewe ni mwanamitindo? Na ungependa kuwa mmojawapo?

Wanawake na Wanaume, wenye ndoto za kuwa wanamitindo wanakaribiswa .

Ni kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 9.

Jukwaa la tatu la Swahili Fashion Week linawakutanisha pamoja wabunifu wa mavazi kutoka Afrika hasa zile nchi zinazoongea lugha ya Kiswahili, litafanya usili kwa ajili ya kuwapa wanamitindo watakaopewa nafasi ya kuonesha mavazi ya wabunifu mbalimbali wakaoshiriki katika jukwaa hilo kubwa la mavazi AfrikaMashariki.

Usahili huo upo wazi wanawake na wanaume ambao wanapenda kuwa wanamitindo, na utafanyika katika hoteli ya Southern Sun Kuanzia saa 7 mchana.

Lengo ni kutoa nafasi kwa wale wote wenye nia ya kuwa wanamitindo kupata fursa ya kushiriki katika Swahili Fashion Week 2010
Swahili Fashion Week ni jukwaa kubwa pekee linalowaleta pamoja wabunifu wa mavazi na watengenezaji wa bidhaa za mapambo kutoka nchi zote zinazozungumza lugha ya Kiswahili, ili kuonyesha ubunifu wao, kuuza bidhaa wanazozalisha, kubuni ajira, sambamba na kutengeneza mtandao kwa wabunifu kutoka maoneo hayo wanayoongea lugha ya Kiswahili, sambamba na kuhimiza dhana nzima ya kuthamini bidhaa zinazotengenezwa Afrika Mshariki.

Swahili Fashion Week 2010 imedhaminiwa na Southern Sun, home of Swahili Fashion Week, Origin Africa, USAID Compete, MALARIA HAIKUBALIKI, BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania), Ultimate Security, Monier 2000, Colour Print Ltd, Global Outdoor Ltd, Amarula, Vayle Springs Ltd, ZG Films, Darling Hair, Danishmake up designs, Nipashe, Bilicanas, Perfect Machinery Ltd, 1&1 Internet Solutions, Sengi Tours, Ifashion, 361 Degrees na EATV & East Africa Radio.


CONTACT PERSON: Saphia Ngalapi, Media & PR Manager
TELEPHONE NUMBER: +255-712-099834
EMAIL ADDRESS: media@swahilifashionweek.com

###
Saphia Ngalapi
Media & PR Manager
Mustafa Hassanali
PO Box 10684, Dar es Salaam, Tanzania
105 Kilimani Road, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
(opp. Patricia Metzger Health & Beauty Clinic / near French Embassy)
Tel : +255 (0)22 266 8555
Mobile : +255 (0)712 099 834
Mail : media@mustafahassanali.net
Web : www.mustafahassanali.net
www.swahilifashionweek.com
www.harusitradefair.com
www.twende.info

No comments:

Post a Comment